H homeboy12 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 19 Reaction score 44 Jun 18, 2024 #1 Niko serious jamani nahitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuwa na mm wakati wote wa maisha yangu kuhusu age mimi niko na 26 pia nimeajiriwa naahidi nitampenda sana Nitamuheshimu sana Nitamtunza pia
Niko serious jamani nahitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuwa na mm wakati wote wa maisha yangu kuhusu age mimi niko na 26 pia nimeajiriwa naahidi nitampenda sana Nitamuheshimu sana Nitamtunza pia
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 Jun 18, 2024 #2 Taja vigezo chap nione kama nafit nizame pm kabla watu hawajaja humu
H homeboy12 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 19 Reaction score 44 Jun 18, 2024 Thread starter #3 ephen_ said: Taja vigezo chap nione kama nafit nizame pm kabla watu hawajaja humu Click to expand... Asinizidi umri tu
ephen_ said: Taja vigezo chap nione kama nafit nizame pm kabla watu hawajaja humu Click to expand... Asinizidi umri tu
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,080 Reaction score 102,556 Jun 18, 2024 #4 Kumekucha.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,194 Jun 18, 2024 #5 homeboy12 said: naahidi nitampenda sana Nitamuheshimu sana Nitamtunza pia Click to expand... Ny£g£ tu hizi, ngoja ziishe...... Anyway, uko wapi
homeboy12 said: naahidi nitampenda sana Nitamuheshimu sana Nitamtunza pia Click to expand... Ny£g£ tu hizi, ngoja ziishe...... Anyway, uko wapi
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,080 Reaction score 102,556 Jun 18, 2024 #6 Evelyn Salt said: Ny£g£tu hizi, ngoja ziishe...... Anyway, uko wapi Click to expand... Huu uzi umeanzishwa na kichwa cha chini,kikiamka kichwa cha juu ataukimbia tu uzi wake.
Evelyn Salt said: Ny£g£tu hizi, ngoja ziishe...... Anyway, uko wapi Click to expand... Huu uzi umeanzishwa na kichwa cha chini,kikiamka kichwa cha juu ataukimbia tu uzi wake.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 Jun 18, 2024 #7 homeboy12 said: Asinizidi umri tu Click to expand... Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri
H homeboy12 Member Joined Jun 10, 2024 Posts 19 Reaction score 44 Jun 18, 2024 Thread starter #8 Evelyn Salt said: Ny£g£tu hizi, ngoja ziishe...... Anyway, uko wapi Click to expand... ephen_ said: Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri Click to expand... Pole
Evelyn Salt said: Ny£g£tu hizi, ngoja ziishe...... Anyway, uko wapi Click to expand... ephen_ said: Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri Click to expand... Pole
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,080 Reaction score 102,556 Jun 18, 2024 #9 ephen_ said: Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri Click to expand... Huna haja ya mume wewe,yule mwana ccm lia lia ameshakukapata,huwezi kufurukuta. 😎
ephen_ said: Dah! Basi nimeshakosa mchuchu nimekuzidi umri Click to expand... Huna haja ya mume wewe,yule mwana ccm lia lia ameshakukapata,huwezi kufurukuta. 😎
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,130 Jun 18, 2024 #10 Ukifikia hatua ya kuhitaji Toleo jipya, nistue.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Jun 18, 2024 #11 cocastic said: Ukifikia hatua ya kuhitaji Toleo jipya, nistue. Click to expand... udugu jamani😂😂