ni maoni mazuri lakini hitaji langu ni hilo, Mungu anisamehe tu. huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, labda unanishauri nini unaonekana una mawazo mazuri..... webondo
ukweli ndugu yangu hakuna anaeweza kukubali hali hii huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, la msingi kuendelea kimheshimu. au wewe unashauri nini juhudi za kushawishi zimeshindikana, na wala hakubaliani nami, nami ninahitaji hilo. come upMke wako anataarifa hizi na amekukubalia? Au unataka umpe shida dada wa watu ya kuishi maisha ya kuogopa kipigo cha mkeo pindi atakapo baini ukweli?
pia hakuna maingiliano kila mmoja na maisha yake bhanaukweli ndugu yangu hakuna anaeweza kukubali hali hii huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, la msingi kuendelea kimheshimu. au wewe unashauri nini juhudi za kushawishi zimeshindikana, na wala hakubaliani nami, nami ninahitaji hilo. come up
kabla ya kukutana mnatumiana picha na kuwa na mawasiliano hatua inayofuatiwa mnakutana, unajua hatua ya kukutana ni ya mwisho na ni vema ikafikiwa baada ya makubaliano na kuridhika kwa kila mmoja mi nadhani ndo njia nzuri.Mi jamani nimeshawahi kurespond kwa wanaume wanaotangaza wanahitaji wachumba wa kike humu JF.. Cha ajabu tuki meet inatokea mmoja kati yetu hajaridhika na mwonekano wa mwenzake..Lol.. Ikitokea mi nimeridhika nakutana na ambaye hajaridhika na mie..Na nikikutana na aliye ridhika na mie, mimi nakuwa sijaridhika naye... Ni vichekesho kwa kweli..
ukweli ndugu yangu hakuna anaeweza kukubali hali hii huo ndo ukweli, hakuna kupindisha, la msingi kuendelea kimheshimu. au wewe unashauri nini juhudi za kushawishi zimeshindikana, na wala hakubaliani nami, nami ninahitaji hilo. come up
Bora umepata maana humu JF ungejichorausiusemee moyo, kama huna haja kaa kimya, nimeshapata wanaohitaji bhana
eti eeh! asante kwa tahadhari broBora umepata maana humu JF ungejichora
Mabint wote ni .com na wanajua computer kukuzidi
usiri utakuwa mwanzo tu, kw vyovyote huwezi kufanya siri milele. akipatikana inawekwa wazi hakuna jinsiKwa hiyo mtakuwa mnafanya kwa siri kubwaaa.??? Kwa hiyo ukishafyatua mtoto uta take care vipi familia mbili? Maana huyo mtoto atakuwa anahitaji malezi yako pia kama Baba.. Utawezaje nawe unafanya siri? Huoni ni ngumu?
usiri utakuwa mwanzo tu, kw vyovyote huwezi kufanya siri milele. akipatikana inawekwa wazi hakuna jinsiKwa hiyo mtakuwa mnafanya kwa siri kubwaaa.??? Kwa hiyo ukishafyatua mtoto uta take care vipi familia mbili? Maana huyo mtoto atakuwa anahitaji malezi yako pia kama Baba.. Utawezaje nawe unafanya siri? Huoni ni ngumu?
usiri utakuwa mwanzo tu, kw vyovyote huwezi kufanya siri milele. akipatikana inawekwa wazi hakuna jinsi
Nashukuru sana kwa ushauri wako, umezingatiwa, kwa kweli sitakuwa na papala katika hilo kma umenisoma vizuri sitakurupuka tu unazaa, no, kuna kufanya mahusioano kwanza ambapo kila mtu akiridhika ndo hilo lililolengwa linafuata. nina tahadhari ya kutosha sina papara, ndugu yangu. na asipozaa basi mahusiano yanaendelea kama kawaida naridhika na matokeo basi.Wanawake tulivyokuwa na wivu ndugu yangu.... Hapo uombe Mungu tuu pasiwepo na mambo ya Kalumanzila baina yao..Wasije kukufukizia madawa kama sio kudhuriana wao kwa wao.. Too bad huyo Bi dada mpya ndio hujui chochote kuhusu yeye.... Na utajuaje kama anazaa au nayeye ni wale wale? Unaweza kukaa nae miaka 5 asizae hata mtoto mmoja utamuacha??? Kila la heri ndugu..
Hahahaaaaaa.........ni kitu ambacho bado najiuliza hivi ni kweli hawa wanaotoa haya matangazo ya kutafuta wenza wako SERIOUS kabisaaaaaa au wanachangamsha genge???!!!