Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Be serious ndugu...hamu ya ngono kwani nimekwambia nna shida ya wanawake wa kulala nao? Nna shida ya mwanamke wa kuzaa nayeUna hamu ya ngono tu wewe.
Ndugu yangu, mi sitaki mimba za lawama. Nataka mutual agreement.Hupati hata mmoja hii.sio miaka ileeee we bora ungekaa kimya tia mimba Lea
Usichukulie rahisi kihivyo...nimejipanga.mkuu,, kwani kuna mama bila baba?? kwanin usikubali uitwe MR & MRS flan? ukishazaa tayar huyo n mkeo. La sivo utatapeliw mtoto humu,,,, binti atalala na wew coz hutak ish nae ataenda sex tena na mwenye uhtaji wa kuw baba then utakuw unalea mimba na mtoto halikadhalika mme mwenzio nae analea hivohvo we utakuw baba wa mbali huku unamwaga matumiz mwenzio baba wa karibu anaish na kujua mienendo ya mtot wenu mlie changia,,,, acha uzoba, kubal kuw baba huru.
Kuna tatizo gani?Ana miaka 28.....anatafuta mwanamke wa mpaka miaka 40. Haya!
Kila mtu na maisha yake....chagua kuishi unavyopenda kaka.Hakuna.
Pita mbali kama huna cha kuchangia. Kuna sababu gani ya msingi mtoto azaliwe kwa njia za kimaabara? Huna tofauti na wanaojifungua kwa operation kisa hawataki kusikia uchungu?Basi hautafuti mwanamke wa kuzaa tu.
Bali unatafuta kipoozeo. Kila la heri.
Wewe shida yako mtu akubebe mimba ili akuzalie mtoto,au ufanye mapenzi na huyo mtu atakaye kuzalia mtoto?Pita mbali kama huna cha kuchangia. Kuna sababu gani ya msingi mtoto azaliwe kwa njia za kimaabara? Huna tofauti na wanaojifungua kwa operation kisa hawataki kusikia uchungu?
Nataka mtotoWewe shida yako mtu akubebe mimba ili akuzalie mtoto,au ufanye mapenzi na huyo mtu atakaye kuzalia mtoto?