Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
😂😂😂walala hoi kazi tunayo
😂😂😂walala hoi kazi tunayo
hamna cha chemistry mnataka luxury
Chemistry ndio ina matter kwangu, hela zinatafutwa.hamna cha chemistry mnataka luxury
🤣🤣🤣🤣🙌walala hoi kazi tunayo
Ndo upunguze na vigezo sasa😂😂Wakati wa MUNGU huwa ni sahihi siku zote☺️😂
Una shingi ngapi?Habari wanajukwaa,
Nahitaji mwanamke wa kuoa, aliye tayari nifuate PM.
SIFA:
~ Umri 18-24
~ Elimu kuanzia la saba nakuendelea
~ Awe tayari kutafuta maisha yenye mafanikio
~ HESHIMA na UTII
Ni vizuri,,, lakini watu sikuizi hawaangalii hilo😌😌Sasa si ndio vizuri Ili hayo mafanikio wote wawe na uchungu nayo . Mali hazitapotea kizembe . Maana nidhamu itakuwepo to the fullest.