C Chillo97 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2016 Posts 630 Reaction score 933 Jul 21, 2016 #1 Kwa mtaalamu wa program hizo namuhitaji. nina intro kidogo ya program hizo na computer kwa ujumla hatapata shida ya kunifundisha. muda ni kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni mwanza mjini.. nipigie kwa 0719397568.
Kwa mtaalamu wa program hizo namuhitaji. nina intro kidogo ya program hizo na computer kwa ujumla hatapata shida ya kunifundisha. muda ni kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni mwanza mjini.. nipigie kwa 0719397568.