josafe90 Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 117 Reaction score 28 Mar 22, 2015 #61 Hivi mme anatafutwa kama chumba cha kupangisha? Thubutu,kwa namna hiyo dada humpati mtu. Kwanza miaka 29 yote hiyo. Lohhh
Hivi mme anatafutwa kama chumba cha kupangisha? Thubutu,kwa namna hiyo dada humpati mtu. Kwanza miaka 29 yote hiyo. Lohhh
pejohn Senior Member Joined Mar 18, 2014 Posts 149 Reaction score 51 Mar 22, 2015 #62 Naombeni kujuzwa mbinu za kuwa mrefu mana'ke naishia kuitwa shemeji sasa
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Mar 22, 2015 #63 josafe90 said: Hivi mme anatafutwa kama chumba cha kupangisha? Thubutu,kwa namna hiyo dada humpati mtu. Kwanza miaka 29 yote hiyo. Lohhh Click to expand... Miaka 29 tatizo liko wapi?
josafe90 said: Hivi mme anatafutwa kama chumba cha kupangisha? Thubutu,kwa namna hiyo dada humpati mtu. Kwanza miaka 29 yote hiyo. Lohhh Click to expand... Miaka 29 tatizo liko wapi?
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,460 Mar 25, 2015 #65 Hoooooouuuuhhhh ok
Mimiwikolo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 218 Reaction score 19 Mar 28, 2015 #66 Uhuru wa kuchagua
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 357 Mar 28, 2015 #67 Ulikuwa wapi mpaka unafikisha umri huo?
C confidential person Member Joined Feb 11, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Jun 29, 2015 #69 Nipe Tempo,kabla Hujampata Permanent Wako.
skfull JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 2,944 Reaction score 2,385 Jul 9, 2015 #70 Ndoa ya kiisilamu kesho tukutane msikitini ila duh wewe kuacha kale kambuzi huwezi nimekumbuka byeeeee!!!
Ndoa ya kiisilamu kesho tukutane msikitini ila duh wewe kuacha kale kambuzi huwezi nimekumbuka byeeeee!!!
Mzee_2015 JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 255 Reaction score 58 Jul 10, 2015 #72 nadhani tangazo lako limepungua na vigezo . kama kabila aneotoka ,sehemu anokoenshi , afya yake na vingi ulizo zisahau kuzitaja.... Naona wewe nimgeni hapa JF bora utulie kidogo usome JF hapa hapa kuna vituku mbali mbali
nadhani tangazo lako limepungua na vigezo . kama kabila aneotoka ,sehemu anokoenshi , afya yake na vingi ulizo zisahau kuzitaja.... Naona wewe nimgeni hapa JF bora utulie kidogo usome JF hapa hapa kuna vituku mbali mbali
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,221 Reaction score 6,454 Jul 13, 2015 #73 We umri ushaenda hivo lkn bado unaweza conditions? Itafka muda utatafuta VILEMA hata hutapata. Binafsi watu kama hawa nawaogopa kama UKOMA
We umri ushaenda hivo lkn bado unaweza conditions? Itafka muda utatafuta VILEMA hata hutapata. Binafsi watu kama hawa nawaogopa kama UKOMA
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,221 Reaction score 6,454 Jul 13, 2015 #74 We umri ushaenda hivo lkn bado unaweza conditions? Itafka muda utatafuta VILEMA hata hutapata. Binafsi watu kama hawa nawaogopa kama UKOMA
We umri ushaenda hivo lkn bado unaweza conditions? Itafka muda utatafuta VILEMA hata hutapata. Binafsi watu kama hawa nawaogopa kama UKOMA
khusbakty Member Joined May 11, 2015 Posts 92 Reaction score 20 Jul 13, 2015 #76 mimi muislamu utakubari kubadir dini?
NileSat JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 340 Reaction score 182 Jul 13, 2015 #77 Machweo sambamba na masharti sijui wa 18 up 23 masharti yao yatakuwaje mana ww bibi tu unatutisha harafu ulikuwaga wapi mpaka unafika apo??
Machweo sambamba na masharti sijui wa 18 up 23 masharti yao yatakuwaje mana ww bibi tu unatutisha harafu ulikuwaga wapi mpaka unafika apo??
KORBOTO JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,848 Reaction score 2,447 Jul 13, 2015 #78 Em mtaje kabisa jina lake, maana hizi specification inaelekea unamjua kabisa unayemtafuta
Sungurawembe JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 414 Reaction score 55 Jul 14, 2015 #80 Kazi ya hii ID itakuwa ni kwa ajili hiyo maana anaelekea kukata tama mwishowe atatafuta wa kumpatia mtoto tu IFRS said: Multiple I'd at work Post ya kwanza unatafuta mume Click to expand...
Kazi ya hii ID itakuwa ni kwa ajili hiyo maana anaelekea kukata tama mwishowe atatafuta wa kumpatia mtoto tu IFRS said: Multiple I'd at work Post ya kwanza unatafuta mume Click to expand...