Nahitaji mume

una miaka 29 bado unawekaa vgezo??
 
hatari vibibi ndio vinavyotafute wame mbona below 23 hatuwaoni.....mtu akishafulia ndio tunaona matangazo...napita tu lakini
 
Hasheem Thabeet aliwahi kuwa mrefu kuliko watu wote pale MAKONGO SCH! lkn ameonekana ana kimo cha kawaida tu pale NBA

Mkuu sio makongo tu bali hata Mwenge bus stand alikuwa kivutio kwa watalii wa ndani, maana kila konda alipenda apande kwenye daladala lake ili amfaidi anavyojipinda.

Aliwahi kupanda hiace aliposimama pale mlangoni mama kawaida ya wakusoma kichwa mpaka mabega vilikuwa ndani sehemu ya mwili iliyobakia ikabaki nje mwisho miguu ikaingia ndani kwa ufupi alitengeneza umbile la upinde.
 
Duuuh,kweli wanaume huku tuelekeako tutakua kitu adimu sasa,huyu mdada anaetafuta mwanaume sasa nimeshawashuhudia watano live,sasa huyu ni wa sit japo sijui km kweli anamaanisha.Wanaume tunatafutwa sasa,itafikia wakati mwenye mume wake itabidi amfungie ndani kabisa
 
[/QUOTE]

Kama nawewe ni mrefu uliyejazia nipm namba yako tuwasiliane.
 
Mmmhhhhhhhh loadin...... But nadhan ungeongezea na awe na Keys 3...?
 
Urefu na ufupi wa mtu na Roman Catholic are the absolute wrong things unatafuta kwa mwanaume masikini ya Mungu, you have a long long way to go kuelewa watu na utu na tabia na ndoa na chemistry za binadamu.

Ni lazima ujuwe binadamu aliyekamilika ana choice na option. Sadly, binadamu wengi wanaangukia kwenye option baada ya choice kufeli. Sasa basi usimuingilie choice yake, akikosa choice ataangalia option.
 
sasa mama usaili ushafanyika au bado ntume maombi(ila kwenye RC apo tutasamehana)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…