Ubarikiwe kwa maombi yako.
Wafupi tuna shiiiiidaaah
Marahaba Mkuu.. kwa heshima na taadhima umepatia swaha !! Kusema ukweli hata hii lugha kiswahili ni maneno ya kiarabu...sema lafudhi zetu ndiyo mparaganyo !!Zammiluuni Zammilluuni haya ni maneno ya kiarabu yenye maana ya Nifunikeni Nifunikeni.
Mkuu ulimaanisha hivyo? Usihofu, nataka kujua tu.
We acha tu
Kila la kheri dada.
Du...! RC tu ndo wakristo.Hii dunia ina watu kweli.......Mpaka unajitangaza umepima lakini!?