Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri

Waume wapo wengi inategemea umejiandaaje? Sio kila mwanamme ni mume na sio kila mwanamme ni mchezeaji na kuacha acha ovyo wanawake! Yataka busara kujua ni nini unahitaji na vipi utakipata! Muweke mungu mbele katika hilo kama kweli una ukweli ndani ya nafsi yako kuwa hasa unahitaji mume na sio mchumba! Ningejaribu kuomba nafasi kwako lakini elimu haujatanabaisha ya kiwango gani na kazi ungependa awe nayo ya aina gani? Ukinijibu maswali hayo nadhani utakuwa umewasaidia na wengine kujua kama wataweza kuja kwenu kuchumbia na kuoa! Asante
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Elimu ya kawaida cz is minor factor to me..shughuli ya uchumi ya kueleweka inayotambulika kama ni halali katika jamii...
tafuta wimbo wa wete ulioimbwa na Msondo ngoma
mzenjiboy, wee ni mgeni hapa mjini??Tafadhali weka heshima huo si ustaarabu.
Tafadhali weka heshima huo si ustaarabu.
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri
Sio mbaya anafaa ila awe tayari ku copy na mazingira ya din yangu.. Sio mguu ndan mguu nje
mbona una umri mdogo sana kufika hatua ya kutoa tangazo.
umekata tamaa mapema sana