Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 317
Elimu ya dini?Queen Horse
Ndio awe na elimu ya dini itakayoweza kumfanya afaham misingi ya maisha ya kiislam na jinsi ya kuishi nayo
Jitongozeshe, jibebeshe mimba muhamishie nyumbani kwako.Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri
Ndio awe na elimu ya dini itakayoweza kumfanya afaham misingi ya maisha ya kiislam na jinsi ya kuishi nayo
Jitongozeshe, jibebeshe mimba muhamishie nyumbani kwako.
aliyekuwa tayari Kusilimu je? anafaa?
Jitongozeshe, jibebeshe mimba muhamishie nyumbani kwako.
wakati akuendelea kulea kichanga awe tayari kupokea mke mwenzake, maana hakuna kupumzuka hadi wafike wanne , kwa kadili ya maadili ya dini ya kiislam
As'laam Alayka Queen Horse
Jitongozeshe, jibebeshe mimba muhamishie nyumbani kwako.
Cio mbaya cz ntakuwa aware kuliko kutoka na kwenda kumjengea kimada.