Nahitaji mume wakuishi nae..

Nahitaji mume wakuishi nae..

Joined
Jan 29, 2017
Posts
14
Reaction score
19
Naitwa: agness
Naishi: tanzania
Kabila: msukuma
Dini: mkristo(kkkt)
Umri: 31
Familia: nina mtt 1

Mazungumzo zaidi njoo inbox



SIFA ZA MUME NINAE
MUHITAJI:

Umri: 34 -45
Kabila: lolote
Dini: yoyote
Awe mwenye kujashughulisha
Mwenyemapenzi yakweli
Hata akiwa nawatt sitatizo
Awe mcha mungu
 
Pole kwa upweke dadangu. Nakushauri toa namba . Lasivo utasumbuliwa sana na watu wasiokuwa waaminifu. Ungesema mazungumzo yote ni private. Interested candidate akufwate private.
 
umetoa namba mapema bila mchujo? btw mungu akubariki utampata mume bora
 
Naitwa: agness
Naishi: tanzania
Kabila: msukuma
Dini: mkristo(kkkt)
Umri: 31
Familia: nina mtt 1

Mazungumzo zaidi njoo inbox



SIFA ZA MUME NINAE
MUHITAJI:

Umri: 34 -45
Kabila: lolote
Dini: yoyote
Awe mwenye kujashughulisha
Mwenyemapenzi yakweli
Hata akiwa nawatt sitatizo
Awe mcha mungu
Ni pm pliz
 
Ulivyoandka unaonekana u mstarabu na unamaansha kweli umefunguka kabsa kila LA her
 
Naitwa: agness
Naishi: tanzania
Kabila: msukuma
Dini: mkristo(kkkt)
Umri: 31
Familia: nina mtt 1

Mazungumzo zaidi njoo inbox



SIFA ZA MUME NINAE
MUHITAJI:

Umri: 34 -45
Kabila: lolote
Dini: yoyote
Awe mwenye kujashughulisha
Mwenyemapenzi yakweli
Hata akiwa nawatt sitatizo
Awe mcha mungu
UMEJITOA MUHANGA. HONGERA SANA
 
Naitwa: agness
Naishi: tanzania
Kabila: msukuma
Dini: mkristo(kkkt)
Umri: 31
Familia: nina mtt 1

Mazungumzo zaidi njoo inbox



SIFA ZA MUME NINAE
MUHITAJI:

Umri: 34 -45
Kabila: lolote
Dini: yoyote
Awe mwenye kujashughulisha
Mwenyemapenzi yakweli
Hata akiwa nawatt sitatizo
Awe mcha mungu
Embu ni pm
 
Naitwa: agness
Naishi: tanzania
Kabila: msukuma
Dini: mkristo(kkkt)
Umri: 31
Familia: nina mtt 1

Mazungumzo zaidi njoo inbox



SIFA ZA MUME NINAE
MUHITAJI:

Umri: 34 -45
Kabila: lolote
Dini: yoyote
Awe mwenye kujashughulisha
Mwenyemapenzi yakweli
Hata akiwa nawatt sitatizo
Awe mcha mungu
Mimi nitakufaa
 
Wanaume tumekuwa bidhaa adimu
acha man....ila nao japo wapo wengi lakini unaweza tafuta wa kuoa ila ikawa hola...tatizo wanachagua wanaume kama maandazi..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom