jaman wana jf,mambo vp?nipo natafuta mchumba mwembamba wastani,rang yoyote,kabila lolote,awe na miaka chni ya 24,anaejitambua,asiwe mlevi wala malaya,mimi ni mrf wastani,mwembamba,mtanashati ,na nina sifa nyingine nyingi,atazijua atakaekuwa tayali kuwa na mimi,kwa mdada yeyote alie tayali kuwa nami anitumie namba yake kwenye reply,au areply kwa kunipa namba yake