Nahitaji mume aliye serious

Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Nipe picha yako inbox hatutaki John Cena
 
Uko serious kweli bibie? Mtu anauliza swali la msingi, halafu unamjibu kimasihara tu!

Na hili ndilo tatizo lenu kubwa! Hamtaki kabisa kutoa wasifu wenu kwa kina. Sijui hamjui kama nyinyi ni maua mazuri na pia mapambo ya nyumba zetu!
Anatafuta mume halafu jeuri hivi, akimpata itakuwaje?
 
CV yako inaonesha hauna uzoefu, haujaolewa ukaachika, haujashika mimba angalau mbili tatu, haujawahi kuishi na mwanaume, utaweza ndoa wewe?
 
Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Njoo nipo dodoma
 
Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Habari ya asbh
 
Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
nyie wasomi mnatusumbuaga sana
 
duu sasa weye bibie chuo umefika lkn bado hata ka mimba huna??? wanaume wooote hao ulio kutana nao?? walikuktaa utakuwa na wewe
 
Nahitaji mume serious
Sifa zangu
-elimu shahada ya kwanza
-nimeajiriwa serikalini
-Mkristo
-sijawahi kufunga ndoa wala kuzaa
Nahitaji mwanaume alieserious ili awe mwenza wangu
Sifa!-
- Miaka 33-48
-ni mtafutaji
-anayejali
Sifa zote ninazo njoo pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom