Nahitaji mtu wa kutengeneza website ya biashara

Nahitaji mtu wa kutengeneza website ya biashara

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
14
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam anayeweza kunisalidia katika hili kwa mawazo na kufanya.
teknolojia namaanisha maeneo Kama website na mitandao ya kijamii.
Shukrani kwa msaada
 
0715032262 mpigie uyu atakusaidia anapatikana tabata
 
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Fanya hizi
#1. Pitia bandiko (na reply zake hapa JF) la ndugu Nettz - Utaona ni jinsi gani alivyo na upeo wa ufahamu kuhusu online platforms mbalimbali. : https://www.jamiiforums.com/search/3979106/
#2. Mshirikishe idea yako - Nina hakika mtapata idea kubwa ya pamoja ya jinsi gani website yako ya biashara unataka iwe.
#3. Tumia mawasiliano yake - Yapo kwenye baazi ya reply zake.

Kila lakheri ndugu BabuLeo
 
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam anayeweza kunisalidia katika hili kwa mawazo na kufanya.
teknolojia namaanisha maeneo Kama website na mitandao ya kijamii.
Shukrani kwa msaada
Sijafahamu unamaanisha nini kusema unahitaji website yenye kutumia teknolojia ya habari.

Ila kama unataka kumiliki tovuti yenye uwezo wa kunasa wateja unaweza kutembea darasa letu live hapa.

Tumezungumzia huko "
Jinsi Ya Kunasa Wateja Kupitia Tovuti Yako"

Kama hiyo ndio aina ya tovuti unayohitaji unaweza kuwasiliana nasi.

Dr. Said Said
 
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam anayeweza kunisalidia katika hili kwa mawazo na kufanya.
teknolojia namaanisha maeneo Kama website na mitandao ya kijamii.
Shukrani kwa msaada
Kuna namna nyingi ya kutapa website na kuitangaza business yako. Ngoja nikupe uzoefu wangu,
Website ni vizuri kuwa nayo especially kama unafungua kampuni. Cha msingi, ni kupata website iliyo bora na siyo bora website.
Pia gundua kuwa, ukiwa na website basi wateja faster. Website nyingi hazina visitors kabisa, hivyo watu hata kuzijua hawa zijui na hivyo haukusaidii kupata wateja.

Faida kubwa ya website ni kujenga credibility. Watu wengi, hata ulienda nje kuongea deals, jambo la kwanza watakuuliza website yako. Kwahiyo ni vizuri kuwa nayo lakini ongeza njia nyingine.

Na hakika humu jamii forums kuna watu wengine ambao ni website developers, ila ushauri wangu, katafute watu humu www.ajiras.com
Kwa sababu watanzania wengi, unakubaliana nao kazi wiki 2, itapita miezi haijaisha au substandard kabisa. Kutumia ajiras, ukitoa order (unalipia online kwenye platform kwa njia maalumu kama tigo pesa, mpesa na kadhalika), yule developer hapokei hela, anapata order tu, akikuonyesha kazi ukaridhika ndo hela itaenda kwake. Na pia ukiangalia post yake, itaonyesha kazi atafanya kwa muda gani, asipo maliza, unaweza cancel order na hela yako itarudishwa. Pia unaweza andika review kuwa kazingua ili kuwataarifu wengine na anaweza kuwa banned.

Kitu kingine unachoweza fanya ni kupost kampuni yako kwenye business directory kama zoomtanzania. Ila kwa mimi napendelea www.finder.co.tz Ingawa ni ya kulipia kitu kama elfu 25 kwa mwaka ($10) ila wao naona website yao ipo professional zaidi. Wao wataitangaza business yako na wateja wanaweza kuwasiliana na wewe moja kwa moja.

Ukiwa unatengeza website, zingatia haya
1. Iwe responsive, yaani, inafunguka vizuri kwenye computer, simu na Tablet.
2. Jamaa akuweke google analytics ambayo itakuonyesha idadi ya watu waotembelea website yako na wanatokea wapi.
3. Speed ya kufunguka iwe nzuri.
4. I we na sehemu ya kuchat, ukiingia kama kwenye www.ajiras.com na www.finder.co.tz utaona kuna messanger chini kulia. Itasaidia wateja kuongea na wewe faster. Kama hicho kilichopo ni bure na kina app za simu ili uwasiliane na wateja popote.
5. Website itahitaji domain. Domain ni address au jina kama www.jamiiforums.com. Hiyo ni domain, kwahiyo, ukiwa na hiyo, akutengenezee na email yenye domain yako eg Babuleo@jamiiforums.com. Wateja hawaamini kampuni au biashara zinazotumia gmail au yahoo.
 
Back
Top Bottom