Peters Chacha
Member
- May 8, 2017
- 29
- 28
Ndugu zangu, naitumaini mu-wazima wa afya njema. Mi naitwa Peter Chacha Peter, naishi hapa Dar es Salaam-kiangambon.
-Nimemaliza kidato cha nne mwaka
jana( 2017) matokeo yametoka na nimepata Div. III ya 22 nilisoma masomo ya art. hivyo nasubiri goverment selection na nitapenda kwenda kusoma HGL, kwani nina ndoto ya kuja kuwa Mwana diplomasia wa kimataifa.
Ninaomba kama kuna mtu yoyote anaeweza kuniamiani anipe kazi au anisaidie kupata kazi, kama mtu anaweza kunichukua nikawa house boy wake anisomeshe kidato cha tano na cha sita , na mimi nipo tayari kumsaidia kazi za nyumbani nk, hivyo kwa lungha nyingine tutakuwa tumesaidiana.
ATAKAE GUSWA TAFADHALI, NAOMBA TUWASILIANE ZAID KWA NAMBA 0688991329 au chachapeter050@gmail.com