Habari zenu
Natumai mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu. Nahitaji mtu anitengenezee application ambayo itaweza kupatikana kwenye play store. Hivyo yeyote ambaye ana uwezo huo anaweza kunijuza na kutoa maelekezo kuhusu gharama zake.
Natanguliza shukrani kwenu nyote
Asantheni