Nahitaji mtu anaeweza kunitengenezea na Ku design application

Nahitaji mtu anaeweza kunitengenezea na Ku design application

kuntio

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Naitaji IT person amabe ataweza kunitengenezea application km vile facebook na whatsapp.....
 
Tufanye basi kama wasomi.. Pesa sio tatizo..naombeni email zenu au mobile contactz zenu tuongee biashara....
 
Tufanye basi kama wasomi.. Pesa sio tatizo..naombeni email zenu au mobile contactz zenu tuongee biashara....

Unaonekana hauko serious na unataka kuplay around with JF devs.
Nimeku PM toka saa 13:16 muda ambao ulianzisha thread yako, lakini hujaonyesha response yeyote.

Jaribu kuheshimu majukumu ya watu.
 
Simu yangu haikuweza kuni notify kama kuna text iliingia...samahani kwa usumbufu...naomba unitumie contacts zako ili kesho mapema tuwasiliane
 
Back
Top Bottom