Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

Nahitaji mtu anaetokea mkoa wa Tabora

ipatama

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
348
Reaction score
228
Merry Christmas kwa wana jf wote, kama kichwa kinavojieleza, naomba kama kuna mtu anaetokea mkoa wa tabora wilaya ya sikonge, please naomba tuwasiliane kuna mambo nahitaji kujua toka huko.

Ahsanteni, tusherehekee kwa amani
 
Uliza hapa hadharani utapata majibu, zaidi ya unayotegemea.
Tupo wengi sana humu
Wakonongo , waswezi, wasumbwa,
Poa mkuu, lengo langu ni kujua hiyo wilaya ya sikonge ni kabila gani maarufu linalipatikana huko?
Nauli toka tabora mjini hadi huko ni shingapi?
Shughuli zao kubwa ni nini?

Kwa kuanzia tu ni hayo mkuu
 
Poa mkuu, lengo langu ni kujua hiyo wilaya ya sikonge ni kabila gani maarufu linalipatikana huko?
Nauli toka tabora mjini hadi huko ni shingapi?
Shughuli zao kubwa ni nini?

Kwa kuanzia tu ni hayo mkuu
Wilaya ya sikonge ni kabila la ya wamwezi na nauli ya kutoka tbr mpaka sikonge nikama elfu 6 sema Nina miaka kama minne sijafika huko mkuu ila Barabara mbaya
 
Kilimo, (mahindi, tumbaku,) ufugaji,(wanyama, nyuki) uwindaji,( Halali na haramu)
Shughuli za tiba asilia etc.
 
Acha ujinga, chem chem haipo skonge.
Huyo demu wako mbona nishapitia kama ni hapa Chem chem tabora maana mimi mademu kama vile2 yote nishapitia maana mimi nikicheche wa hatari sionagi mgeni kaingia nikamwacha hivi hivi lazima nipige sound
 
nauli ni tsh.5000 from tbr to sikonge
- shughuli kubwa ni Kilimo na ufugaji, wanalima sana tumbaku na pia Asali nyingi inatokea huko
- kuwa makini sana, kuna ushirikina sana huko
 
Kuna wanawake wazuri huko ni balaa. Ila tatizo lao Limbwata
 
Nauli sahihi ni sh
4000/= Kwa sasa Sikonge ni palizi la mahindi na tumbaku. Sikonge ni wanyamwezi hususani wa kitunda a.k.a Kiwele (wakonongo), uliza jingine ila majogoo ya kuchi yamepingua sana hivyo isitegemee tutakuchinjia kuchi wetu.
 
Hahahaaaaa alafu nayatamani sana hayo mkuu, huwa nayasikia tu
 
Merry Christmas kwa wana jf wote, kama kichwa kinavojieleza, naomba kama kuna mtu anaetokea mkoa wa tabora wilaya ya sikonge, please naomba tuwasiliane kuna mambo nahitaji kujua toka huko.

Ahsanteni, tusherehekee kwa amani
Mimi natoke Tabora mjini...
Basi...
 
Back
Top Bottom