Nahitaji Mtaalam wa ufugaji kuku

Nahitaji Mtaalam wa ufugaji kuku

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam wadau,

Nahitaji kijana mwenye uzoefu na ufugaji hasa wa kuku na ndege. Anaweza kuwa na elimu formal au uzoefu wa muda mrefu wa kuku wote wa mayai na nyama. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0686 666666 hasa kwa msg au whatsApp.

Asante na karibuni.
 
Sasa mkuu iyo namba yako tu ya simu ni tishio .....ukipiga haisemi karibu filimasoni kweli?
 
Back
Top Bottom