Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,014
Ndugu zangu nahitaji dada wa kazi za ndani familia ya watu watatu, baba mama na mtoto wa miaka 4 mshahara 70k. Nipo Kimara Dar.
Nipigie 0626097783.
Nipigie 0626097783.
Tatizo wengi matapeli mkuu ukituma nauli humsikii tenaa na dada haji.. Kama una uhakika huyo ni mwaminifu naomba unitumie namba PM mkuuNimelipenda tangazo lako.
Swali inatoa chochote kwa agent atakayekuletea huyo mtoto? Maana mimi wangu kuna mtu aliniletea nilimpoza kidogo si unajua wanavyosumbua kuwapata hawa?
Kuna agent yupo Dar Mikocheni yuko vizuri sanaTatizo wengi matapeli mkuu ukituma nauli humsikii tenaa na dada haji.. Kama una uhakika huyo ni mwaminifu naomba unitumie namba PM mkuu
Huyu ni wa uhakika sema tu na yeye pia huwa anataka ahakikishiwe kwamba mtoto huyo atakuwa salama. Ngoja nimuulize kama anaweza kuwa tayari kwa sasaTatizo wengi matapeli mkuu ukituma nauli humsikii tenaa na dada haji.. Kama una uhakika huyo ni mwaminifu naomba unitumie namba PM mkuu
Aaha ok mkuu...!Huyu ni wa uhakika sema tu na yeye pia huwa anataka ahakikishiwe kwamba mtoto huyo atakuwa salama. Ngoja nimuulize kama anaweza kuwa tayari kwa sasa
Wewe buku 10 hafadhali mimi nimeliwa 200k halafu mfanyakazi alikaa wiki tu. Akasema mzee wake anaumwa🤣Kuna tapeli humu kaona tangazo akanipanga toka juzi jana akanidanganya nimtumie nauli ya kwenda kwa wazazi wa mtoto yeye yupo dodoma... Hata simu hapokei yani elfu 10 tu yenyewe nilikuwa nasita kumtumia na kesho asipopokea simu ntaweka namba yake hapa ili kama kuna mtu alimtumia namba zangu ajue huyo jamaa ni TAPELI.
Kuna tapeli humu kaona tangazo akanipanga toka juzi jana akanidanganya nimtumie nauli ya kwenda kwa wazazi wa mtoto yeye yupo dodoma... Hata simu hapokei yani elfu 10 tu yenyewe nilikuwa nasita kumtumia na kesho asipopokea simu ntaweka namba yake hapa ili kama kuna mtu alimtumia namba zangu ajue huyo jamaa ni TAPELI.
Yani acha tuu...!! Nae njaa kalii alitaka nitume nauli ya dodoma to dar.. nkasema ngoja nimjaribu nione uaminifu wake za kichwaaaNilikua nafuatilia uzi na mimi nijitose
Kumbe anatafuta hela ya kula

Aisee hawa wadada siku hizi wanasumbua sanaa mtu ukimpata mheshimu sanaa me nashangaa wanaowapata alafu wanawanyanyasaa... Unaweza tapeliwaa mpaka ukahisi kufa kufa me nimekataa tama..!! Mwingine juzi kati nimemkatia mpaka tiketi usiku ananimbia hawezi kuja bibi yake amefarikii..Wewe buku 10 hafadhali mimi nimeliwa 200k halafu mfanyakazi alikaa wiki tu. Akasema mzee wake anaumwa![]()
SIo namba weka na idKuna tapeli humu kaona tangazo akanipanga toka juzi jana akanidanganya nimtumie nauli ya kwenda kwa wazazi wa mtoto yeye yupo dodoma... Hata simu hapokei yani elfu 10 tu yenyewe nilikuwa nasita kumtumia na kesho asipopokea simu ntaweka namba yake hapa ili kama kuna mtu alimtumia namba zangu ajue huyo jamaa ni TAPELI.
Ni tashwishwi ?SIo namba weka na id
Hahahaaa.Wewe buku 10 hafadhali mimi nimeliwa 200k halafu mfanyakazi alikaa wiki tu. Akasema mzee wake anaumwa![]()
Huwa wanachukua namba kimya kimya bila kukomenti ili ID zao zisijulikane.Huyo mwenye namba hiyo ni tapeliii anasema yupo dodomaa ila ni uongoo.. na uhakika ni member wa jf au kuna member humu anashirikiana nae kutapeli kiufupi aache kuna wengine hawana masiharaaa..!
Alafu ni mtu wa heshima huwezi mdhaniaaa.. Yupo hapa hapa dar mpaka picha yale ninayoHuwa wanachukua namba kimya kimya bila kukomenti ili ID zao zisijulikane.


