Hahahahaha kazi anayo huyo wengine hapa tunaenda mwaka wa 3 ye siku 30 anaona kama kifungo dah.....!
Naomba ujumbe wa ID yako umfikie walau ajilekebishe.
karibu sana shinyanga,ukitaka pa kukamata wa fasta fasta nenda Garden pub,aka bakurutu,ukitaka walio wataharabu kidogo lakini ni wauzaji nenda butiama,karibia na shyotel zamani.usisite kuomba msaada wanashy tupo tutakusaidia.karibu sana shy