Wazee wa JF,Nategemea kwenda kikazi Shinyanga kwa takribani siku 30,wakuu mnaoijua vema shinyanga sehemu gani ambazo kuna viwanja vya kupoozea mihemko ya mwili.Please let me know wadau

Sio mambo yetu mkuu, hayo ni mambo yako we umejuaje kama unayo yafanya wewe kila mtu ndio anayo yafanya?
Hahahahahahaha uwiiiiiiiiiiiii unajifariji upate support ya kufanya hayo mambo yako kazi unayo kweli kweli na hizi stori zako za fb.