B baltazarmushy Member Joined Feb 19, 2012 Posts 8 Reaction score 0 Feb 20, 2012 #1 kila nikijaribu kuwatch vidios za youtube kwenye simu inashindikana, msaada tafadhali natumia internet ya airtel simu ni nokia 5300
kila nikijaribu kuwatch vidios za youtube kwenye simu inashindikana, msaada tafadhali natumia internet ya airtel simu ni nokia 5300
g.n.n JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 407 Reaction score 49 Feb 20, 2012 #2 Hata mimi natumia aina hiyo ya simu uliyoitaja,video zinazokataa ni kwamba format yake haikubali kwenye simu yako ila baadhi ya video zinakubali.
Hata mimi natumia aina hiyo ya simu uliyoitaja,video zinazokataa ni kwamba format yake haikubali kwenye simu yako ila baadhi ya video zinakubali.
B baltazarmushy Member Joined Feb 19, 2012 Posts 8 Reaction score 0 Feb 21, 2012 Thread starter #3 g.n.n said: Hata mimi natumia aina hiyo ya simu uliyoitaja,video zinazokataa ni kwamba format yake haikubali kwenye simu yako ila baadhi ya video zinakubali. Click to expand... wkt natumia voda intanet nilikuwa nawez kuwatch videos ambazo format zake cm inasuport bt since nianze ku2mia airtel intanet inakata kabsa it look lyk airtel hawajahost hii progm??...any idea pls!
g.n.n said: Hata mimi natumia aina hiyo ya simu uliyoitaja,video zinazokataa ni kwamba format yake haikubali kwenye simu yako ila baadhi ya video zinakubali. Click to expand... wkt natumia voda intanet nilikuwa nawez kuwatch videos ambazo format zake cm inasuport bt since nianze ku2mia airtel intanet inakata kabsa it look lyk airtel hawajahost hii progm??...any idea pls!