Nahitaji msaada wenu kwenye hili

ulibikiri nini wakati amekeketwa?
 
[emoji16] huyu ni mke tatzo ni hilo tu likipata ufumbuzi naoa.

Ni zipi nzuri kwa matumizi nisaidie majina nitazitafuta.
Kwa kozi anayesoma inahitaji concentration kubwa sana so ni ngumu kuwa sexually aroused unless kama aliwahi kutumika sana, acha amalize chuo wala usimjudge haraka namna hiyo as long as hazingui kwenye Mawasiliano yenu ya kila siku,
Sawa mkuu
ukimwacha , nipe namba yake
Utaoa au utamuumiza tu?
Mwanamke anayesoma MD hapati hamu ya mapenzi mpaka amalize chuo na hii hata kwa wanaume pia, trust me.
[emoji16] ubize wa kusoma upo sana na anapambana sana kusoma nadhani hii pia n kutokana na hali halisi ya familia yake.
Pamoja nakuvumilia kuna mambo kadha yakuongea nae lazima ufanye hivo iliujue tatizo nn sikushauri uoe ktk hali hiyo kuna wanawake kufanya mapenzi kwao sio mhim isije kuwa waaina hiyo ukaishia kutembea na bint wakazi

Nitaongea nae nipate ukweli kutoka kwake.
 
Mwambie atumie supu ya bamia kwa wingi pia siyo vibaya mkaanza kutumia vilainishi ili kumpa mwenzako burudan japo si kweli kuwa ukavu wa uke husababishwa na kukeketwa tu kwani kuna ambao hawajakeketwa na wana tatizo kama hilo
 
.......jamaa ana uvumilivu .....afu bado anamsomesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KILA SIKU TUNAWAAMBIA MCHUMBA HASOMESHWI
[emoji23][emoji23][emoji23].muache akazane kusomesha,Kuna siku atakuja na thread nyingine akilia lia ,amesomesha halafu wameoa wengine.
 
Kuna Mambo wawili ambayo,ninauhakika ni ngumu kwa mtu yeyote kuvumilia kuishi na mtu mwenye tabia ama hulukaa hizo...nayo ni mwanamke Malaya,kwa nn mwanamke Malaya atakutengenezea maadui wengi,pili mwanamke mchawi,huyu mda wowote anaweza kupewa masharti akutoe sadaka.ushauri wangu kwako Kama huyo bint unauhakika hana hizo tabia....aise huyo wa kuoa,ukimuacha utajilaumu baadae.utakapokutana na machepele pasua kichwa.
 
Anasoma kozi gani ya afya kwanza??
ukute labda anasoma MD. inampa stress mpk anakosa feeling mtoto wa watu alafu unafikiria masuala ya kukeketwa bure
 
Mwambie atumie supu ya bamia kwa wingi pia siyo vibaya mkaanza kutumia vilainishi ili kumpa mwenzako burudan japo si kweli kuwa ukavu wa uke husababishwa na kukeketwa tu kwani kuna ambao hawajakeketwa na wana tatizo kama hilo
Nitafuata ushauri wako mkuu asante.
[emoji23][emoji23][emoji23].muache akazane kusomesha,Kuna siku atakuja na thread nyingine akilia lia ,amesomesha halafu wameoa wengine.
Sisomeshi nnahudumia nnatimiza wajibu wangu kwake kama mwanaume. Kwao wanamudu kumlipia gharama zote za masomo na hajawai kuniambia hata mara moja anahitaji nimlipie gharama za masomo kwahiyo kuhusu hilo la kusomesha sipo kabisa.
ni kweli kabisa mkuu ngoja nimuweke sawa ili nipate kujua kesho yangu nayeye itakuwaje ikishindikana basi.

.....ngoja tusubir mkuu [emoji23][emoji23]
we endelea kusubiri.

Sawa mkuu
Anasoma kozi gani ya afya kwanza??
ukute labda anasoma MD. inampa stress mpk anakosa feeling mtoto wa watu alafu unafikiria masuala ya kukeketwa bure

Kuhusu kukeketwa ni jambo ambalo nina hakika nalo najua wapo ke ambao hawajakeketwa wenye hali kama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…