Nahitaji msaada wakisaikolojia

Nahitaji msaada wakisaikolojia

Aiseee una tatzo kama langu mkuu....ila wewe umenizidi kidogo...mm zaidi kwa wanawake...tangu nitendwe siwezi tena kuinteract nao kivile...hata nipate dem anijali vipi awe mzuri vipi mwisho wa siku ntamzingua na atanambia nna hasira sana au sifai kuwa mume e.t.c na atanikimbia tu! Wakati huko nyuma haikuwa hvo hadi baadhi ya Ex-s wang akiwemo huyo alonirarua moyo huwa wananiona bonge la mwanaume...like wanataman kurudi...ila nkitest tu inaishia pabaya!!!

Ngoja twende pamoja kwenye huu uzi wako namm labda naweza pata dawa kutoka kwa wadau
 
Labda ana maana yake kuuliza hayo maswali, wewe unamjia juu

Kama ungekuwa unahitaji wenye ujuzi, ungeenda kwa psychologist sasa, husingeandika uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yy ameshakwambia ni mwepesi kukasirika na kupanick and all that...ndo tayari apo.
 
Una upungufu wa nguvu za kiume? hahahaha mnk hiyo ndo ilinifanyaga mimi niwe kituko enzi hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji16] [emoji16]
 
Una upungufu wa nguvu za kiume? hahahaha mnk hiyo ndo ilinifanyaga mimi niwe kituko enzi hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji16] [emoji16]
mhhh we jamaa bana...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yy ameshakwambia ni mwepesi kukasirika na kupanick and all that...ndo tayari apo.
hahhahaha nashkuru Mkuu umejiongeza.....uyo atakua kwe list ya vyeti feki aisee
 
Back
Top Bottom