MIRABEL CRAWLY
Member
- Jan 31, 2022
- 97
- 299
You need to fucks with me Asap ili uweze kumdelete permanently[emoji16]! Unaweza ukachukulia utani ila thats the main solution. #Mndewa
Humu Kuna mijitu itahis hii ni tangazo la nafasi ya kazi kwenye nyeti zako hii nchi ina vijana wapuuzi sijawahi ona
Huyu hapa kijana wa hovyoYou need to fucks with me Asap ili uweze kumdelete permanently😁! Unaweza ukachukulia utani ila thats the main solution. #Mndewa
Extrovert 🤣mzee wa mabebezHuyu hapa kijana wa hovyo
Pole sana kama uliwahi mtenda mtu ubao umekaa sawa GG.Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane
Pole sana kama uliwahi mtenda mtu ubao umekaa sawa GG.
Itakuwa mahusiano yananitaka mimi 😅Sijawahi!! Labda sisi wengine maisha yetu hayataki mahusiano [emoji3064][emoji3064]
nadhani ni nature,Hello JF Family..
Need a HELP
I’ve been in a relationship with a man ambaye hatukujuana vizuri ( I regret it🥹) we date for one year, at that time wakat tunaanza dating nilikuwa single for 2 years..
Mwanzo nljua tunaweza achana muda wowote kwasababu simjui Freshii maybe ana girlfriend wake huko… siku zinavyoenda penzi likakolea nazi 25..
To be honest nlivyokuwa kwenye hayo mahusiano nlkua sio mtu wa kumsumbua hata kidogo, nlkua namuacha kama akipata muda atanichek asiponichek sina noma pia.. ( I was busy minding my own business)and I never cheated
Baada ya muda mawasiliano yakapungua kabisa.. pia alkua ananikwepa nisiende kwake..
Actually mm nina INTUITION, nilihisi kitu na kweli baadae he confessed kwamba he was going through alot the reason is because mama kamchagulia mtu wa kumuoa( ila wanaume nyie ni mbwa[emoji81][emoji81][emoji81] mtafutage sababu zenye mashiko)
Until now I know he’s lying for everything[emoji3064][emoji3064][emoji3064] but he doesn’t know kama najua.. ( kipenda roho[emoji38][emoji119])
And I decided to cut him off But akinichek
nashindwa mu ignore kabisa[emoji22] Nimelia sana saana..
Nowadays nakuwa na hasira sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane[emoji1787]
Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha( hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU
NB: I’m 25[emoji16]
Vijana wa ovyo kama wewe mvuta bangiHumu Kuna mijitu itahis hii ni tangazo la nafasi ya kazi kwenye nyeti zako hii nchi ina vijana wapuuzi sijawahi ona
ushapata kibali chakuroga mtu sasa nafasi kama hiyo adhimu siwezi iachia iende patupu!! lazima mizimu ishughulike na mtoto wa mtu!.
nadhani ni nature,
wanaume kwa baadhi ya makabila na mashehebu, kuinvest kwa rafiki wa kike kadhaa hata baada ya kuolewa, ni kawaida, na kwakweli kua na altenatives girlfriends ili kusudi endapo litatokea la kutokea basi awe na angalau mbadala wa karibu wa kujisitiri akiwa anajipanga kuvuta chombo kingine...
kwaajili ya afya ya akili kutulia ni jambo zuri...
ila kiimani hatushauri jambo hili...