Kwa vile unajua gharama na program za dstv. Nakushauri ukafanye survey kwa hao CTV ujue gharama, programs na aina ya cables wanazotumia. Kama ni fibler watakuuwa wazuri, lkn kama ni hizi cable za kawaida unawaza kupata tabu kwa kuwa disconnected Mara kwa Mara has a kama uko mbali na mtambo ulipo. Hivyo jaribu kuwauliza kama wana wateja jirani na eneo ulipo. Na ukishawajua wanaweza kuwa refence nzuri kwako