amaniluhuha
Member
- Sep 12, 2016
- 20
- 13
Wana jf mi ni mwanafunzi Wa Kampala university nachukua degree ya pharmacy BUT ninapoingia bord ya mkopo kuangalia kama nimepata mkopo nimekuta hivi YOU'RE NOT ALLOCATED A HIGHER EDUCATION LOAN FOR ANY 2016/2017 IN THE FIRST BATCH.
Sasa wadau haya maneno yana maana sijapata mkopo kabisa au nisubiri batch ya pili maana mimi nilichaguliwa na TCU Kwenye second selection. Mnisaidie kwa hilo
Sasa wadau haya maneno yana maana sijapata mkopo kabisa au nisubiri batch ya pili maana mimi nilichaguliwa na TCU Kwenye second selection. Mnisaidie kwa hilo