Kama lengo lako ni kupata ujuzi jaribu kuwona hawa Hosanna Higher Technologies - Page Site
ukifanya practice utakuwa fit hata ukienda hizo courses am sure bado utahitajika kufanyia mazoeziAhsante sana mkuu,nitatembelea hiyo site.
Hilo ndio lengo langu haswa,niwe na ujuzi wa kudevelop application software.
Chuo tulipigwa just kupata abc za programming.
Kwani Networking haina clients Mkuu?
Wana JF naombeni mnisaidie chuo kizuri ambacho naweza kusoma short courses za programming languages za .NET,VB6,PHP na hata java ili niwe competent nami niweze kutengeneza application software.
Nina elimu ya 1st degree,nipo compent ktk networking "CCNA Holder" sasa nataka nijikite zaidi na ktk programming,mana huko naona ndiko kuna clients wengi.
ukifanya practice utakuwa fit hata ukienda hizo courses am sure bado utahitajika kufanyia mazoezi
na kufanya project ndogo ndogo.ushauri wangu ni kama una basic ya programming language tafuta project
simple ifanye ukishindwa kitu una google.
Wana JF naombeni mnisaidie chuo kizuri ambacho naweza kusoma short courses za programming languages za .NET,VB6,PHP na hata java ili niwe competent nami niweze kutengeneza application software.
Nina elimu ya 1st degree,nipo compent ktk networking "CCNA Holder" sasa nataka nijikite zaidi na ktk programming,mana huko naona ndiko kuna clients wengi.
Take a look on www.alphonce.net
This is IT video training site, I actually have everything you described. The video training packs covers all you need to become a programmer
Tumepause kwa muda, kina event tunaandaa kisha tutaendelea. Information zote zitakuwa shared at the right timeAhsante sana mkuu,nitatembelea hiyo site.
Hilo ndio lengo langu haswa,niwe na ujuzi wa kudevelop application software.
Chuo tulipigwa just kupata abc za programming.