Bei rahisi Electronicks
Member
- Nov 24, 2025
- 65
- 189
Mimi ni kijana wa miak 25 Sasa naingia mwaka huu Kuna mke wa mtu ananisumbua ananitumia message namba tofauti tofauti nishamtukana na kuama mtaa ,mwazoni alihitaji msaada WA pesa aliniomba nikampa elfu 50 alisema Mama yake anaumwa Sasa ivi anasema anataka kulipa fadhila kuja Kwangu HIO ZAMBI YA MKE SIITAKI NISHAMWAMBIA IYO NIMETOA KAMA SADAKA BADO NIFANYE NJIA GANI
