Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

lil225

Member
Jan 5, 2019
11
4
Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije anisaidie, na inatokea error hii.

IMG_20210317_171124.jpg
 
Angalia tutorial youtube jinsi ya ku set up Android emulator kwenye vs code or jinsi ya ku connect simu yako kwenye vs code iwe identified
 
Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije anisaidie, na inatokea error hii.

View attachment 1727998
Nyongeza!
Jifunze pia kutengeneza screenshot au kushare errors ambazo kila mtu anaweza kuzisoma.
 
Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije anisaidie, na inatokea error hii.

View attachment 1727998
Utahangaika Sana namna hii, yaani unashindwa kutumia pc kufanya snapshot ama kukopy hizo error na kuweka hapa, sasa unatafuta mtu Dar aiseh.
 
hebu run hiyo command kwenye terminal halafu i screenshot result zake
Code:
npx @react-native-community/cli doctor
 
Jifunze kuandika professionally. Xana, mbn ni vitu gani hivyo?

Error message ipo wazi. Kama hujaielewa maana yake kaanza na basics za Android SDK na ADB.

Ndio maan ni bora kutumia Native Android na Kotlin/Java haswa kama ni beginner.
 
Zote nafanya na sioni tofauti sana
 
Nope, Kwan Ukitumia React na Dart kama Beginner kuna Ubaya, Atumie Framework na Language ambayo kwake sio Ngumu na haimsumbui
 
Yaani "kama mtu yupo dar umfate mpaka alipo kwa ajiri ya hio error messages moja"?

Sasa si utakua unafanya kazi ya kwenda kwa watu miaka yote?

Halafu hakuna swali la programming ambalo halina solution Google,ni aidha hujaelewa solution au hujui wapi pa kuipata

Pia jifunze kuchukua screen shot kwenye PC yako hua hatufanyi hivyo...nimeshindwa kusoma error message yako
At least ungeiandika hapa

Kukusaidia ningejua kwanza kama ume install
Android Studio pamoja za required packages zake zote kwa ajiri ya Ku run React Native application?

Au ume install react native tu na Visual studio?

Pia kama ume install Android Studio,hakikisha umefata instructions zote za docs on how to use React Native with Android Studio

Set up za React Native ni complicated kwa beginners nakushauri utumie " Expo" inaondoa hizo complications za Ku set React Native na Android studio na kukufanya u focus tu na application logic

Pia ina tools nyingi sana zitakazo rahisisha development process nzima

Tumia Expo
 
Nope, Kwan Ukitumia React na Dart kama Beginner kuna Ubaya, Atumie Framework na Language ambayo kwake sio Ngumu na haimsumbui
Point ambayo hawa "native app developers" wana miss ni hii..

App iliyotengenezwa na React Native au Flutter ni "native app" kama app yoyote ile iliyotengenezwa na "Java/Kotlin au Swift/Objective C"
Hii ni kwasabau React Native au Flutter mwisho wa siku ina compiles JavaScript codes zako kwenda kwenye Native Codes za Platforms husika

Tofauti ni moja tu "speed" au "performance" na hii ni katika "magnitude" ndogo mno

Kwa every day usages they almost the same.....

Ila Advantage ya cross platform apps (via React Native au Flutter) ni nyingi sana ukilinganisha na Traditional
single platform apps
 
Error ipo very clear.. Device unayotumia kudebug haijasomeka.. Una options mbili kusolve

1. Setup emulator yako make such its running vizuri na environment variables zake zipo setup vizuri.

2. Connect simu ya android. Make sure USB debugging ipo enabled.. alafu run tena hio command.. Its should work

Ila kiukweli hii error ni very very common kwa any kind of android development iwe Flutter iwe React Native.. Na nina uhakika 100% stack overflow answers kibao zinasolve.. Jifunze kuitumia Stack overflow na Google vizuri otherwise maisha yako ya development yatakua magumu mnoooo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom