Nahitaji msaada kuhusu hii Modem; UnifiedUi.exe hast stopped working

Atacms

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
5,466
Reaction score
10,095
Amani iwe kwenu wadau wa hili Jukwaa!!

Hii Modem ni mpya kabisa nimetoka kununua dukani pale mlimani lakini baada ya kufanya installation kwenye Pc uki ifungua ili uweze ku Connect na internet ina jitokeza iyo Error
kwa hiyo nashindwa kabisa kuitumia
Product ni ya Vivo+ZTE

MF7 10 HSDPA

Nahitaji msaada wenu ili niweze kuondoa hili tatizo wadau wa jukwaa hili!!!...
 
hakuna anae jua hii Error??????
 
-jaribu kuscan virus kwenye pc yako
-jaribu kufanya connection kutoka hapo chini kwenye network and internet setting
-download dashboard nyingine ya zte
 
-jaribu kuscan virus kwenye pc yako
-jaribu kufanya connection kutoka hapo chini kwenye network and internet setting
-download dashboard nyingine ya zte
thanks!
nita jaribu kufanya ivo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…