N NDULUMESO JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 243 Reaction score 177 Sep 16, 2017 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua mpira wa miguu kwa matumizi yangu binafsi. Naomba mwenye uelewa wa wapi ninapoweza kuupata anijuze tafadhali
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua mpira wa miguu kwa matumizi yangu binafsi. Naomba mwenye uelewa wa wapi ninapoweza kuupata anijuze tafadhali
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,375 Reaction score 13,443 Sep 18, 2017 #2 Nenda karume ipo mingi tu..kuanzia 10k mpk 70k...wewe tu na kamba yako
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,851 Reaction score 11,437 Sep 18, 2017 #3 Karume ata bure unapewa