Nahitaji Mpenzi

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,295
Reaction score
5,449
Mimi kijana mwenye miaka 30 nahitaji mpenzi ambaye kama akiqualify vigezo aje awe mke na mama wa watoto wangu.

Awe musilamu
awe angalau anashughuri yoyote inayomuingizia kipato
Hata kama amezaa asiwe na mtoto zaidi ya mmoja
Umri kuanzia 28 - 35 yrs

..................................................................................

Sifa zangu

Nina elimu ya diploma in Logistics and shipping management
Nimeajiriwa katika kampuni binafsi
Nina urefu wa 5.2 ft
Aliyetayari ani PM
 
humu humu jf au kwingine..anyway wasuburi wanakuja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…