Nyimamadogookumanga!
Mkuu King Kong III hivi hili neno maana yake huwa ni nini? Maana naona mara kwa mara unalitumia.
OKTuma tena mkuu,naona hii imekataa kusomeka!
OK
ITEGAMATWI unajua wakati naposti nilikuwa na haraka sikuangalia vizuri link - anyway, fungua link hii hapa chini alafu usikilize huo wimbo vizuri mpaka mwisho utaelewa jamaa huwa anamaanisha nini na inalingana na hoja aliyeleta hii mada ya kutafuta Kijana wa kumlea:
NB:
Ukisikiliza utajua King Kong III huwa anamaanisha nini!
Bonyeza Play alafu usikilize vizuri maana una mafumbo kdg,
Maana yake ipo karibu na mwisho kwenye dakika ya 2:48
LINK: http://www.hulkshare.com/uuc2zmjg6w4r
Mkuu ITEGAMATWINimeisikia mkuu lakini sijawaelewa! Maana nasikia tu hii ngoma nzito lakini hawajasema uzito wake ni nini!
Mkuu ITEGAMATWI
Rejea bandiko langu hapo juu
Nimesema sikiliza kwa makini kuanzia dakika ya 2:48 na kuendelea (ni Robo Tatu ya sehemu ya mwisho wa wimbo) ndipo utakalolisikia hilo neno na kujua maana yake!
Sasa mimi nimekuambia ina mafumbo kdg!
Ila kuanzia dakika hiyo utalisikia hilo neno na kujua maana yake! ....
Sasa ukishindwa kujua basi utakuwa na matatizo ya kuelewa misemo ya kiswahili! & itabidi tuanzie Jukwaa la Lugha! :wink2:
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.
Umri wangu ni miaka 55.
Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Sitaki aoe na sitaki atafute Mtoto.
Miaka 55? Sasa atapata utamu gani kwako? Kutengana na mume wako katika umri kama huo? Du! Wewe ni noma. Ulimaliza kupata siku zako ukiwa na miaka mingapi? Sasa mtoto wa miaka 22 hadi 26 utamzalia kweli?
Unataka kubemenda watoto?
weka picha au ni PM Nikone i am 40 32yrs