Nahitaji mpenzi/mchumba wa kike

Frank255Fx

Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
27
Reaction score
9
Rejea kichwa cha Habari hapo
Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu mwanamke wa aina yoyote ! Naishi Dar , Nahitaji mwanamke mwenye mwili mwili mzuri, mrembo, Shape Nzuri Mwenye hofu ya Mungu
Natanguliza Shukrani
PM IPO WAZI


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…