Nahitaji mpenzi/mchumba mwenye masters au phd

Nahitaji mpenzi/mchumba mwenye masters au phd

irakiza

Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
99
Reaction score
20
Mm ni kijana miaka30,nahitaji mpenz/mchumba wa kike mwenye miaka 30-37 awe na elimu ya masters/phd. Vigezo vya kimaumbile na kimuonekano havitazingatiwa.
 
Yupo mmoja ana PhD ya kemia na hivi vigezo havitazingatiwa ngoja nimshtue achangamkie fursa
 
Kuna mdada hapa kaachika mara 17 nadhani atakufaa ngoja nimshtue.
 
Uwe unatupa updates kwa maana ndoa yenu itakua ni ccm vs ukawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom