Nahitaji mpenzi atakayekuwa mume

Nahitaji mpenzi atakayekuwa mume

Neema.

Member
Joined
May 10, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, nina mtoto mmoja nahitaji kuwa na mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu, sibagui dini, kabila wala rangi.

Tafadhali iwe kwa anayehitaji tu, asiyehitaji sipendi usumbufu.
 
unaishi mitaa gani?? weka namba basi
 
Neema.

huna hata vigezo ndo maana jamaa kala mzigo akasepa kakuach na mtoto,bila shaka hujitambui
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri mdogo wangu ila uwe makini usije ukapachikwa ujauzito kisha ukatelekezwa ikawa mbili bila.
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, nina mtoto mmoja nahitaji kuwa na mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu, sibagui dini, kabila wala rangi.

Tafadhali iwe kwa anayehitaji tu, asiyehitaji sipendi usumbufu.
0786-150061
 
Huchagui dini kabira rangi sura maumbile:O unadanganya
 
Wakishafikisha 30 hawachagui maana hawana cha kuchagulia, washazeeka tena na mtoto juu kupata ni asilimia ndogo sana.
Kila siku mwaambiwa jitunzeni mnajifanya manjua sana. Mtaa mzima wanawajua kwa mambo yenu, kanisani wanawajua ni watu wa hovyo ndio maana hata posa hawaleti.
Mabinti na vijana jitunzeni watu huona
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, nina mtoto mmoja nahitaji kuwa na mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu, sibagui dini, kabila wala rangi.

Tafadhali iwe kwa anayehitaji tu, asiyehitaji sipendi usumbufu.

Weka wasifu wako na picha mkuu,kisha ni pm
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30, nina mtoto mmoja nahitaji kuwa na mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu, sibagui dini, kabila wala rangi.

Tafadhali iwe kwa anayehitaji tu, asiyehitaji sipendi usumbufu.

Unafanya shughuli gani?una elimu gani?

Dini yako ipi?maana kwa sie wengine hicho ni kigezo muhimu

Mtoto anaishi na nani na ana umri gani?vip mahusiano na Baba yake yapoje??

Mtoto ni wa kike au wa kiume?maana hapa panahusika kama kidume cha nyumba atakuwa huyo mtoto au wengine tutakaozaa tukikubaliana.

Nijibu please kama kweli upo serious
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom