Ngoja wanakuja wataalamu
Ndugu zangu kwa anaefaham mordem nzuri kabisa kwa matumizi ya internet anijuze ninunue moderm ipi.
unataka kwa matumizi gani?
nenda tigo mkuu bei ni elfu 25.. then utaeza i unlock utumie netwk yoyote..
internet
najua ni internet ..ila kama unatumia kawaida tu ku browse na kudownload file za kawaida tu basi tafuta modem za mitandao yetu hii kama tigo ,airtel,voda kikubwa uangalie tu ni mtandao gani kwako una speed nzuri ya internet...pia waweza kuzi unlock ukatumia mitandao mingine.
kama wewe ni mtu wa files nzito unaeza tafuta modem zenye speed atleast 21.6
Mbps.
Ndugu zangu kwa anaefaham mordem nzuri kabisa kwa matumizi ya internet anijuze ninunue moderm ipi.
- Nunua HUAWEI E3131
- Ina kasi ya 21mbps
- Inauzwa kwenye maduka ya zantel
- Jinsi ya kuifungua ili itumie laini yeyote pitia HII LINK: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...a-ku-unlock-modem-ya-zantel.html#post13798387

Hii inauzwa sh ngapi?