Nahitaji moja ya simu hizi

Nahitaji moja ya simu hizi

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
S3, HTC desire hd, HTC amaze 4g, au yoyote inayo fanana na hizo, bajeti 250,000 ziwe na kila kitu na bila tatizo lolote. Mwenye nayo aniPM fasta
 
Kama utapata s3,isiyo na tatzo kwa bei hyo nami nijulishe..
TEH TEH TEH..
 
usikalili s3 zimeshuka mpya lak 4 so kwa nn mtu asiniuzie used kwa bei hiyo?? Pia hizo price sio fixed, Ni adjustable kutegemea na condition ya simu
 
Duka gani wanauza genuine s3 kwa laki nne? Kama ivo why usijiongeze laki na nusu ununue mpya
 
Nokia tochi unahitaji? sh 200,000/= 50 itakuwa change yako.
 
Back
Top Bottom