Nahitaji modchip for ps2

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
habari wakubwa:
naomba msaada kwa wale wanaofahamu mahali zinapouzwa modchips za ps2,ambazo zinawezesha kucheza cds aina nyingi zaidi,lakini pia zinawezesha kucheza gemu kwa kutumia flash disk,hasa ninahitaji modchip inayojulikana kwa jina la MODBO 4.0,natanguliza shukrani zangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…