Habari wana Jamii forums.
Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa wa mtu wa karibu maishani kwangu.Nina miaka 29, ni mkristo,nimeajiriwa serikalini. Nipo Kahama.
Nahitaji mwanaume awe Mkristo. Awe na umri kuanzia miaka 30-37.
Tafadhali aliye serious tu naomba ani PM.