Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Jan 12, 2025 Thread starter #21 Mvinyo mpya said: Kaitamka 5 m kama elf 50 Click to expand... Yaan ππ
M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 2,230 Reaction score 8,306 Jan 12, 2025 #22 Anastasia21 said: 1.kwa mwezi huu 2.mwezi wa sita 3.10% 4.gari au kiwanja Click to expand... Majibu yako yanaonesha huwezi kupata mkopo huo. Mkopo ukope january ila kurudisha wewe urudishe june. Kwa Riba ya 10 % hakuna mkopeshaji atakayekubali
Anastasia21 said: 1.kwa mwezi huu 2.mwezi wa sita 3.10% 4.gari au kiwanja Click to expand... Majibu yako yanaonesha huwezi kupata mkopo huo. Mkopo ukope january ila kurudisha wewe urudishe june. Kwa Riba ya 10 % hakuna mkopeshaji atakayekubali
W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,229 Reaction score 4,834 Jan 12, 2025 #23 Pole aise ukiwa na shida kupata mkopo ni ishu sana niliuza gari Bei rahis sana tena namba E acha tu!
BOFREE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 1,056 Reaction score 1,446 Jan 12, 2025 #24 Anastasia21 said: Ila sitauza kwa milion 5 kwakweli Click to expand... wewe lete bei unauza bei gani watu tukupe hela chap
Anastasia21 said: Ila sitauza kwa milion 5 kwakweli Click to expand... wewe lete bei unauza bei gani watu tukupe hela chap
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Jan 16, 2025 Thread starter #25 BOFREE said: wewe lete bei unauza bei gani watu tukupe hela chap Click to expand... Milion 10
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Jan 16, 2025 Thread starter #26 BOFREE said: wewe lete bei unauza bei gani watu tukupe hela chap Click to expand... Kina ukubwa wa 25x20 goba kibululu Attachments IMG_20241009_114752_860.jpg 1.6 MB · Views: 16
BOFREE said: wewe lete bei unauza bei gani watu tukupe hela chap Click to expand... Kina ukubwa wa 25x20 goba kibululu
BOFREE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 1,056 Reaction score 1,446 Jan 16, 2025 #27 Anastasia21 said: Kina ukubwa wa 25x20 goba kibululu Click to expand... kama gari inafika mpaka kwenye kiwanja chukua 7 M chap kwa haraka
Anastasia21 said: Kina ukubwa wa 25x20 goba kibululu Click to expand... kama gari inafika mpaka kwenye kiwanja chukua 7 M chap kwa haraka
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Jan 20, 2025 Thread starter #28 BOFREE said: kama gari inafika mpaka kwenye kiwanja chukua 7 M chap kwa haraka Click to expand... Sawa
BOFREE said: kama gari inafika mpaka kwenye kiwanja chukua 7 M chap kwa haraka Click to expand... Sawa
P Padidu G Member Joined Jun 25, 2021 Posts 26 Reaction score 23 Jan 24, 2025 #29 Kama bado ujapata na una dhamana ya gari njoo dm nikuelekeze mtu atakupa,au mie unipe gari nikupe hela ukirudisha hela nakupa gari yako bila riba.
Kama bado ujapata na una dhamana ya gari njoo dm nikuelekeze mtu atakupa,au mie unipe gari nikupe hela ukirudisha hela nakupa gari yako bila riba.
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,697 Reaction score 8,263 Jan 24, 2025 #30 Anastasia21 said: Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897 Click to expand... Dhamana
Anastasia21 said: Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897 Click to expand... Dhamana
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Jan 24, 2025 #31 incharge said: Hakuna bank inaweza kutoa hela haraka, hela ya bank in mlolongo mrefu mkuu ,hela ya bank siyo mali ya mtu lazima ipitie approvals nyingi hadi iingie kwako Click to expand... Aungane na mama/baba mstaafu anaepokea pension bank haimuwekei mlolongo mrefu inampa mkopo chap anaishi mjini
incharge said: Hakuna bank inaweza kutoa hela haraka, hela ya bank in mlolongo mrefu mkuu ,hela ya bank siyo mali ya mtu lazima ipitie approvals nyingi hadi iingie kwako Click to expand... Aungane na mama/baba mstaafu anaepokea pension bank haimuwekei mlolongo mrefu inampa mkopo chap anaishi mjini
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Jan 24, 2025 #32 TZ-1 said: Dhamana Click to expand... Wewe unataka dhamana aweke nini kadi ya NIDA haitoshi na kitambulisho cha mpiga kura?
TZ-1 said: Dhamana Click to expand... Wewe unataka dhamana aweke nini kadi ya NIDA haitoshi na kitambulisho cha mpiga kura?
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,697 Reaction score 8,263 Jan 24, 2025 #33 zerominus10 said: Wewe unataka dhamana aweke nini kadi ya NIDA haitoshi na kitambulisho cha mpiga kura? Click to expand... Iwe mali yenye value zaid ya m8 kwa sasa
zerominus10 said: Wewe unataka dhamana aweke nini kadi ya NIDA haitoshi na kitambulisho cha mpiga kura? Click to expand... Iwe mali yenye value zaid ya m8 kwa sasa
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Jan 24, 2025 #34 TZ-1 said: Iwe mali yenye value zaid ya m8 kwa sasa Click to expand... Mwili wake una thamani gani kwa unavyoona? Akijiweka bond yeye utampa?
TZ-1 said: Iwe mali yenye value zaid ya m8 kwa sasa Click to expand... Mwili wake una thamani gani kwa unavyoona? Akijiweka bond yeye utampa?
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 378 Jan 24, 2025 #35 zerominus10 said: Mwili wake una thamani gani kwa unavyoona? Akijiweka bond yeye utampa? Click to expand... π³
zerominus10 said: Mwili wake una thamani gani kwa unavyoona? Akijiweka bond yeye utampa? Click to expand... π³
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Jan 24, 2025 #36 notkel004 said: π³ Click to expand... Ndio mrembo
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,697 Reaction score 8,263 Jan 24, 2025 #37 zerominus10 said: Wewe unataka dhamana aweke nini kadi ya NIDA haitoshi na kitambulisho cha mpiga kura? Click to expand... Iwe mali yenye value zaid ya m zerominus10 said: Mwili wake una thamani gani kwa unavyoona? Akijiweka bond yeye utampa? Click to expand... Nop kubwaaa
zerominus10 said: Wewe unataka dhamana aweke nini kadi ya NIDA haitoshi na kitambulisho cha mpiga kura? Click to expand... Iwe mali yenye value zaid ya m zerominus10 said: Mwili wake una thamani gani kwa unavyoona? Akijiweka bond yeye utampa? Click to expand... Nop kubwaaa