Nahitaji mkopo wa 2m

Nahitaji mkopo wa 2m

BrazakakaBura

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
88
Reaction score
104
mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili IFM,, kutokana na changamoto za kupanga nikajiweka nikanunua kiwanja chanika na baadae kidg nikaanza ujenzi sehem iliyobakia ina bajeti ya wastani wa 2m hivyo naomba mwenye kumjua mtu anaetoa mkopo anisaidie tafadhari nitamlipa kutoka kwenye installment zangu za boom kwa kila boom nitarejesha 400k . Naombeni ushirikiano wenu wakuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera sana BrazakakaBura maana umepiga hatua sana! nafarijika kuona hustle kama hizi na unawapa watu mzuka wa maendeleo binafsi. All the best kiongozi
 
Wewe sema ulipunguza pesa za ada ukahamishia kwenye ujenzi..
Ila hongera sana kwa hatua uliofikia kiongozi cha kukushauri hapa achana na pesa ya mkopo wakati una uhakika wa kuoata boom basi tulia nyumba yako utaimalizia taratibu..
Usije ukachukua pesa za watu mara boom linachelewa kutoka uanze kusumbuliwa kulipa deni mwisho ufeli nphata masomo yako..
Unaweka bond nini?
Mana chuo unaweza kudisco
Kufukuzwa
Kuacha ama lolote lile linaweza kutokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom