sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 4,443
- 10,895
Songesha Hadi wampe hicho kiasi inatakiwa awe amekopa na kulipa mara nyingiKama ni issue ya haraka na unatumia mtandao wa Vodacom Kwa muda mrefu wanna huduma ya Songesha. Ila riba zao zinaongezeka Kila 24hrs