Daaah afu unakesha kwenye ule uzi wetu wa mshahara, ikifika 23 usiku unauvuta kwa simbankingSina dhamn ila nawez kukuachia ata card ya bank mshahara unayoptia
Mkuu kuwa serious kidogo!Sina dhamn ila nawez kukuachia ata card ya bank mshahara unayoptia
Swali la kizushi: Ukimpa kadi unampa na password yake?Sina dhamn ila nawez kukuachia ata card ya bank mshahara unayoptia
Ingawa kuna changamoto, ebu jaribu kutembelea hizo micro finance zilizopo karibu na wewe, wanaweza kukusaidia kwa harakaTaasisi binafsi mkuu
Habarini wana jf nina shida nahitaji mkopo wa haraka w 350,000 tsh. Riba iwe ata 20% ni sawa. Msaada tafadhali
Uzi ufungweNitafute kwa hii namba: +31 612 600 629 (WhatsApp).
Mpe kama unayo... HahahaDaaah afu unakesha kwenye ule uzi wetu wa mshahara, ikifika 23 usiku unauvuta kwa simbanking
Evelyn Salt ghafla bin vuu kajitokeza mtu wa kumsaidia...Nitafute kwa hii namba: +31 612 600 629 (WhatsApp).
NetherlandsNitafute kwa hii namba: +31 612 600 629 (WhatsApp).