Nahitaji mke wakuishi nae

Nahitaji mke wakuishi nae

mreno meela

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
37
Reaction score
5
Habari wana Jamii forums.

Mimi niina miaka 26 ninafanya kazi za imformation technology, nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm.
 
Mi nina mke wangu nataka kumuacha una sh.ngapi nikuachie
 
Unaitaji mke wa kuishi nae kama kimada au? Nyoosha maelezo yako yaeleweke
 
Habari wana jf MIMI Nina miaka26 ninafanya kazi za imformation techno nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari
Imformation Techno

Kazi yyt hata changudoa:sly:

Umri wowote kuanzia 50+😀
 
Habari wana jf MIMI Nina miaka26 ninafanya kazi za imformation techno nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm

Hah nami natafuta mume Wa kuish nae ila we mdogo bwana miaka 26 kwa mwanaume bado bado labda ukifikisha 30 hah hah
 
Huku kina vichwa panzi wengi kama nyie no mashoga endeleeni mtani tafuta coz mmeona MIMI ni zuzu malazaro nyie
 
Habari wana jf MIMI Nina miaka26 ninafanya kazi za imformation techno nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm

umesema umesoma IT kwa level gani? unafanya kazi wapi?na unaishi wapi? jielezee kwa undani zaidi bas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom