Nahitaji mke wa nne

mchungupwani

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
13
Reaction score
2
Kutokana na kuwa wanawake ni wengi mno kuliko wanaume na wanawake wengi hawajabahatika kuolewa japo hata mara moja tangu wazaliwe na wanahitaji kuolewa ila wakuwaoa hakuna na huenda wakaondoka katika dunia hii hawajawahi kuolewa natangaza rasmi nina nafasi moja ya kukamilisha wa nne alie tayari na mkaribisha alete cv zake hapa.
 
Hapa patamu! ngoja nikaonge nitarudi hapa!
 
kuna mmoja huku kitaani kwetu anafanya kazi Sinza mori anatoka athikuuu na kurudi athubuhiiiii anatafuta mme wa kumwoa....., kama vp nikupe namba zake!
 
Mmoja tu pasua kichwa,hao wanne wote sijui utawamudu vipi.
 
una mapafu maana kuna watu humu wanalalama hawawafikishi wanawake zao...
 
mashauzi tu! huna lolote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…