Nahitaji mke wa kuoa

Nahitaji mke wa kuoa

mwanairinga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
179
Reaction score
12
Habari wana jf,
Natanguliza shukulani zangu kwa wana jf wote, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na taasisi moja ya fedha hapa Dar, Nipo serious nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, age kuanzia maiaka 24-27, mweusi, mnene kiasi na u refu wa wastani maana mimi ciyo mrefu xana, pia awe mkiristo.
 
Duh kapicha mkuu naweza kutana na maclass mate humu mkuu!
 
Kila la Kheri mkuu... Tulia acha pupa Mungu atakupa, kuna MABUMUNDA mengine sio
 
Asa unavyosema umebanwa human Mda wa kutafut mdada, huku ukimpata utaonana mate sangap? N a kwanzia umeanza primary mpak chuo umeanza na kaz bado tu hujaona????????au ndomo.....
 
Asa unavyosema umebanwa human Mda wa kutafut mdada, huku ukimpata utaonana mate sangap? N a kwanzia umeanza primary mpak chuo umeanza na kaz bado tu hujaona????????au ndomo.....

Hapana mda wa kukutana naye ciyo tatizo, alikuwepo mtu nilikuwa namtegemea kuao lakini mambo yameenda civyo!
Ni pm kama unaweza!
 
Hapana mda wa kukutana naye ciyo tatizo, alikuwepo mtu nilikuwa namtegemea kuao lakini mambo yameenda civyo!
Ni pm kama unaweza!

Mi naomba nkushaur kidogo.Humu utadanganywa tu bure cz wk zilizopta kuna mtu alilalamika hapa kwamba ameshachat na wanawake wa tatu bt kila wanapokubaliana kuonana na hao mabint wanaingia mitin na wengine wamemlia hata hela.kama upo serious tafuta namna nyingin utapat tu mke huku utapotezewa muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom