Nahitaji mke wa kuishi naye,seriously

Nahitaji mke wa kuishi naye,seriously

mwambunnyara

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,elimu yangu ni degree moja,kazi yangu ni mwalimu ndani ya manispaa ya morogoro,kwa yeyote aliye tayari ani pm,awe mkweli,anayejua nini maana ya maisha,awe mcha Mungu,sibagui elimu wala kabila,awe na umri usiozidi miaka 30!!!
 
We hutaki mke unataka kuwagonga than uwabwage. Ungehitaji mke kikwelikweli usingetangaza hivyo. Acha hizo bhn ngoma ipo lakini!
 
kaka moh,nipo serious sana,kikubwa maridhiano baada ya kuonana,aridhike nano lakini pos niridhike naye,baaas!!!
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31,elimu yangu ni degree moja,kazi yangu ni mwalimu ndani ya manispaa ya morogoro,kwa yeyote aliye tayari ani pm,awe mkweli,anayejua nini maana ya maisha,awe mcha Mungu,sibagui elimu wala kabila,awe na umri usiozidi miaka 30!!!

Sister uliachana nae au bado mnaendeleza. Sasa ulimwambia sister unataka kuoa wakati huna wa kuoa mpaka utafute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom